MWIGIZAJI HUYU MAARUFU WA BONGOMOVIES IRENE UWOYA AMEYAWEKA WAZI YALE YALOKUWA YAKIDAIWA KUWA YA UZUSHI KHUSIANA NA YEYE KIMAPENZI NA MSANII JAGUAR WA KENYA,ALIKUWA KATIKA MAHOJIANO NA NDIPO ALIPOULIZWA KAMA WANA UHUSIANO WOWOTE NA HAPO NDIPO ALISEMA KWAMBA NDIO NA WAPO KWENYE HARAKATI ZA KUFANYA NA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA,.ALIPOULIZWA KUHUSIANA NA MCHEZA SOKA NCHINI RWANA ALIYEKUWA BWANAKE NA WAKAZAA MTOT MMOJA ALISEMA HAYO SI YA YEYEY KUULIZA NA SIO POA KUZUNGUMZA MAMBO YAKE YA NDANI,..
Saturday, 7 February 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment