LEO NI SIKU YA KUZALIWA KWA HIT MAKER WA BARIDI AMOUR BEIBY NA KAMA KAWAIDA LEO NDIO SIKU KUBWA KWAKE KWA SABABU NI SIKU KAMA YA LEO ALIANZA MZIKI WAKE PIA,.INAKUWA FURAHA SANA KWA FAMILIA NZIMA YA AMOUR BEIBY KWA JUMLA NA FURAHA TELE IKO KWA MAFANS WAKE KWA SABABU AMEWAAAHIDI KUWAFANYIA SUPRICE AMBAYO ITAWAACHA KILA MTU MDOMO WAZI,....KAMA COAST CELEBS TUNAMTAKIA KILA LA HERI KATIKA MAISHA YAKE
Tuesday, 3 February 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment