MSANII DAVID ROMANO MAARUFU KAMA PROMISE ROMANO KUTOKEA MERU AMEKIRI KWAMBA UJIO WA DIAMOND KUJA MERU NI MSHTUKO NA NI JAMBO AMBALO LA KUTILIWA MKAZO NA MAANANI
MSANII HUYU AMEELEZEA COAST CELEBS ALIVYOTAMANI KUKUTANA NA MSANII HUYU NA WAWEZE KUONGEA MENGI KUHUSIANA NA SANAA YA HAPA EAST AFRIKA NA KUMPA MBINU ZA UTENDAKAZI ILI AWEZE KUFIKA KWENYE LEVEL ZAKE,
najua diamond ni msanii wa miziki ya kidunia ilhali mimi naimba nyimbo za injili ila mziki ni mziki japo tunaongelesha jamii na kuelimisha na diamond ni msanii mkubwa na mwenye mafanikio na mwenye wafuasi wengi sana hapa kenya meru na east afrika kwa jumla ASEMA PROMISE
PROMISE AMEKUWA AKIANGAZIWA SANA NA VYOMBO VYA HABARI KWA JINSI ALIVYOKUJA NA MDUNDO WAKE MPYA WA KUWEZESHA FANS WAKE KUUELEWA ALIWEKA WAZI KUWA YUKO TAYARI KUPERFOM STAGE MOJA IWAPO ATAPATA NAFASI KUFANYA HAYO
PROMISE NI MSANII AMBAYE ANAJITUMA SANA KUTOKEA MERU NA ANAYEVUMA NA KIBAO CHAKE SUPANET ANAZIDI KUELEZEA COAST CELEBS KWAMBA ANATAMANI SANA KUJIUNGA NA WATANASHATI CLASSICS ENTERTAINMENT LIMITED CHINI YA UONGOZI WA KAYFAR AMBAYE NDIYE CEO NA ALEX AMBAYE NDIYE DIRECTOR NA PIA NASSIZU AMBAYE NDIYE RAIS WA WATANASHATI
KAMA COAST CELEBS TUNAMTAKIA MSANII PROMISE MAOMBI YAKE KUFAULU NA KUMUWEZESHA KUPETA NA KUSHIKA HEWA NA KUTEKA MASHABIKI KWA SABABAU NI KIJANA ANAYEJITUMA SANA
kama kawaida mimi hutembelea shule nyingi za msingi na pia za kidato ili kuwezesha kueneza neno la bwana lizidi kusonga mbele na kuwezesha watu waelewe mziki wa injili vitofauti na kwamba meru kuna wasanii
nasikitika sana kuona show kama hii imefika meru na hata county yetu haifanyi chochote kuhakikisha wasanii wetu wanapata nafasi kwenye ukumbi wa watu wengi kama hii ASEMA PROMISE
https://www.youtube.com/watch?v=SoEP0-tMB1Y
0 comments:
Post a Comment