CHA KUSHANGAZA NI KUWA MKEWE DIAMOND PLATNUMZ ZARI HASSAN ALIKUWA MSANII ILA WA KUYEYUSHA MANAKE MIZIKI YAKE HAIKWENDA POPOTE,
ZARI AMBAYE ALIJITAHIDI SANA KWAKUFANYA MIZKI MINGI BILA MAFANIKIO BAADAE AKAAMUA KUACHA NA NDIPO AKAJISHUGHULISHA NA BIASHARA ZINGINE HAPO NDIPO WALIPOPATANA NA BABA TIFFAH DANGOTE,..CHEKI VIDEO YAKE HAPA UAPATE HABARI KAMILI,
YASEMEKANA KUWA DIAMOND WATAONGOZANA NA ZARI KUJA MERU KENYA 27TH AUGUST KWA AJILI YA SHOW BAB KUBWA
Tuesday, 26 July 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment