728x90 AdSpace

Latest News

WATANASHATI CLASSICS. Powered by Blogger.
Thursday, 23 June 2016

DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA SHOW MERU 27th AUGUST

NI BAADA YA SAFARI YA MWAKA MMOJA KWA WATANASHATI CLASSICS WAKISHIRIKIANA NA FINGERWORKS DJS NA ELEX CONSULTANT KUMFUKUZIA RAIS WA WASAFI KWA AJILI YA MAANDALIZI KUJA KUKINUKISHA MERU KENYA NA HATIMAYE MAMBO YAKAWA SHWARI
TUKIONGEA ANA KWA ANA NA CEO WATANASHATI KAYFAR ALITUPA MAELEZO KUHUSIANA NA SHOW INAYOKUJA KUFANYIKA MWEZI WA NANE MERU TAREHE 27 PALE MERU TECHNICAL INSTITUTE NA KUSEMA YA KWAMBA NI KWELI DIAMOND ANAKUJA NA SHOW ITAFANYIKA NA KILA KITU KIKO MIPANGONI KUHAKIKISHA USALAMA WA KILA MMOJA UMEKUWA SALAMA,
DIAMOND NI MSANII AMBAYE ANAFANYA VIZURI SANA KENYA EAST FARIKA NA DUNIA KWA SASA NA MATARAJIO YA SHO HII KWETU NI MAKUBWA SABABU WATU WATATOKA MAENEO MBALI MBALI,
TUKIANGALIA MERU NI COUNTY AMBAYO SHEREHE MBALI MBALI ZIMEKUWA ZIKIFANYIKA NA SITAKUWA NAKOSEMA NIKISEMA MERU KWA SHOW KUBWA SASA SIO NGENI TENA KWA SABABU WATU WANAIONA KWA PICHA TOFAUTI NA KIUKUBWA SANA 
PIA SHOW HII ITAWAPA WAKAAZI WA MERU NA SERIKALI YA COUNTY NAFASI NZURI YA KIBIASHARA NA KUWEKA MERU KWENYE RAMANI YA KUANDAA SHEREHE KUBWA ZA KIMATAIFA,....USIKOSE HII


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: DIAMOND PLATNUMZ KUFANYA SHOW MERU 27th AUGUST Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top