KILA mara tunapozungumia wizi wa mziki utamkuta Rais wa wasafi DIAMOND platnumz akiwa katika shughuli ile,.sasa ameibia kila mtu na amekuja kwa CASSIM MGANGA hit maker wa MOTOMOTO nyimbo ambayo imefanya vizuri sana kwenye tasnia ya mziki wa kizazi kipya,unaposkiza nyimbo ya Diamond platnum ya NTAMPATA WAPI na hii ya CASSIM MGANGA motomoto utaskia ni kama walikuwa wanatungia nyimbo hizi pamoja nayeye sheddy clever wa burn records kutimiza matakwa yao wawili kufanya mziki ufanane kabisa ,..kumebadilishwa vitu kiasi tu ili kudanganya waskilizaji na kuifanyia kazi sana ya DIAMOND PLATNUMZ ,.NIMEKUWA NIKIWAZA SANA KWA TENDO HILI LA KINYAMA KWA WASHKAJI WANGU HAWA WAWILI ILA NAJUA MAMBO KIBONGOBONGO NDIVYO YALIVYO NA ONA SASA WAMENIIBIA NYIMBO YANGU TAYARI NA HIYO INAMAANISHA KUIFUNIKA YANGU NDO YA KAKANGU diamond IFANYE VIZURI,.SINA MENGI YA KUSEMA ILA YAMENIUDHI SANA TENA ZAIDI,..asema cassim mganga
Monday, 2 February 2015
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment