Ameskika akisema hivyo kwenye mahojiano yaliyofanyika baada ya kutofautiana kwenye show ya mama ngina iliyofanyika hapo jana ya ERIC OMONDI UNTAMED iliwaacha wengi mashabiki kufurahi baada ya wasanii waliokuwa kwenye posta wengi kutohudhuria na na wengine wasiokuwa kuhudhuria,Inasemekana kwamba mpango wa wasanii wote kufanya show ulikuwa ila tu baada ya hela kutoka kwa wadhamini wa show hiyo kutoa hela ndogo ilibidi wasanii kadhaa wachujwe yaaani namzumgumzia NYOTA NDOGO,ALI B,BAHATI,DADDY OWEN,NA WILLY PAUL MSAFI,ila ilikuwa afueni kwa eric omondi baada ya hit maker wa kamua leo kujitokeza na kuonekana akirandaranda pale kupiga show ya bure na kuburudisha wengi ,Nyota ndogo ameskika akisema kwamba Eric omondi hakutaka kushika simu zake na kuwa alidinda kuzungumza nayeye,tumekuwa tukiwasaka wasanii waliopiga show yaani SUSUMILA NA CHIKUZEE kuthibitisha madai ya kuwa hawakulipwa ila bado hatujafanikiwa kuwapata,..MIMI SINGETAKA MSANII APIGE SHOW ALAFU NISIMLIPE ILA NILIFANYA HAYA BAADA YA KUKOSA HELA NILIZOTARAJIA KUTOKA KWA WADHAMINI ,..asema eric
SIKUWA NA PESA ZA KULIPA WASANII WENGI,::ERIC OMONDI

0 comments:
Post a Comment