Home > Untagged ERIC OMONDI AMETUTAPELI:::NYOTA NDOGO ERIC OMONDI AMETUTAPELI:::NYOTA NDOGO Baada ya kuwakilisha na mbwembe na kuitangaza sana tamasha ya krisimasi kwenye mitandao na kwenye runinga na pia magazetini basi tamasha hilo kwa jina CHRISTMAS MADE IN MOMBASSA leo imeweza kufanyika katika uwanja wa mamangina drive ulioko mombassa,tamasha hilo liliacha wengi midomo wazi wengine pia kushikwa na mori kwa sababu ya utamu wake wa kiaina ila kwa upande wa wasanii ilikuwa tofauti maana mashabiki walifurahia kupita kiasi ila wasanii waliambulia kurejea makwao mikono mitupu baada ya aliyekuwa kalipanga tamasha hilo ERICK omondi kutohudhuria na tamasha kufanyika akidhaniwa yuko njiani yuwaja,baada ya show kumalizika wasanii walisubiri sana yaani namzungumzia NYOTA NDOGO,SUSUMILA.CHIKUZEE NA MC GATES MGENGE,walisubiri sana mpaka sasa wanasubiri,,,imefikia hatua ya kumfanya mwanadada wetu NYOTA kuchukua hatua ya kumvalisha ERICK khanga kwa kile alichokidai kutapeliwa au kudanganywa au kutumiwa,.....AMEPOST KWENYE MTANDAO WAKE AKISEMA,.Erick omondi kama hauna pesa za kulipa wasanii sikunyengine usitangaze show ambazo hauna uhakika nazo.umetumia majina yetu sasa hushiki simu
0 comments:
Post a Comment