728x90 AdSpace

Latest News

WATANASHATI CLASSICS. Powered by Blogger.
Thursday, 25 December 2014

KIGOTO AKANUSHA MADAI YA KUTAKA KUINGIA NA POMBE AINA YA MNAZI CLUB

Inasemekana juzi katika tamasha za pwani celebrity awards kule club funfun mtwapa msanii huyu alionekana katika harakati za kusachiwa na kupatikana na chupa iliojaa mnazi,yasemekana msanii huyu hitmaker wa vumilia aligundulika pale alipotaka kuingia pasipo na kutumia mlango na kutaka kupitia kuta za nyuma ila tu baada ya kukosa cha kufanya akapita na mbele huku akidai yeye ni msaniii hatasachiwa na pale afisa wa mlangoni yaani soja alipomsachi alimkuta na chupa iliyojaaa pombe ya kitamaduni ya mnazi,alipohojiwa na rafiki zake mbona alikuja na pombe hiyo alisema alitaka kuonesha utamaduni wake ila ulikuwa uongo mtupu maaana hakuwa na pesa na alitaka kupiga seti klabuni huku akionekana yuwanywa na anachokunywa hakijulikani menu yake clabuni pale,.....Tumeongea naye kupitia simu kuhusu madai haya na akayakanusha na kusema kwamba ulikuwa uongo mtupu,........Mimi siwezi fanya mambo kama hayo na hata kama ningefanya halikuwa la ajabu maana mnazi ni pombe ya kiasili na naipenda sana,.....ALISEMA KIGOTO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: KIGOTO AKANUSHA MADAI YA KUTAKA KUINGIA NA POMBE AINA YA MNAZI CLUB Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top