NI KIPINDI AMBACHO KINAPATIKANA KWENYE RUNINGA YA NTV JIONI KINASHIKA NAMBA MOJA BAADA YA KURA NYINGI KUPIGWA KUWA NDIO SHOW BORA HAPA KENYA INAYOTAZAMWA NA WENGI,
2.MSETO EAST AFRICA CITIZEN TV
HASA KWA VIJANA NA KWA KULEA VIPAJI NI KIPINDI KINACHOTIZAMWA SANA NA WATU WENYE UMRI WA MAKAMU KWA KUWA NDIO KIPINDI BORA NA KINACHOKUJA KWA NAMBA YA PILI KWENYE CHATI
3.ZUGA DEBE SHOW MERU TV
WENGI WATASHANGAA KUONA HAYA ILA JUA YA KWAMBA HAPA NDIPO MANAKE KURA ZA WATU NDIO USEMI WA WATU,
NI KIPINDI KIMEKUJA JUZI KABISA ILA KIMETEKA ROHO ZA WENGI KWA UFANISI WA MWANADADA MAHIRI KWENYE RUNINGA YA MERU TV KINACHOKUJA IJUMAMOSI KWANZIA SAA TANO HADI SITA
STR8 UP KTN
NI KIPINDI CHA MASHAROBARO WENGI WANAOPENDA MIYEYUSHO NA MINGARO NA MAPAMBO NA PIA WANENGUA VIUNO NI SHOW YA KIJANJA INAYOKUJA KILA IJUMAMOSI LIVE KWENYE KTN TV KWANZIA SAA TANO HADI SABA
5.MAHEWA QTV
NI KIPIDNI KIPO KWENYE QTV CHA KILA SIKU KINAPATA NAMBA TANO
0 comments:
Post a Comment