Dakika 120 za mchezo huo zilishuhudia timu hizo zikienda suluhu ya bila kufungana na baadaye kuingia katika hatua ya matuta.
Messi ameuambia mtandao wa TYC Sports kuwa ni bora astaafu kuichezea timu yake ya taifa kwa kuwa ni mara ya 4 timu hiyo inashindwa kuchukua kombe lolote licha ya kuingia fainali.
“My time with the national team is over. After losing 4 finals, this isn’t for me,” alisema Lionel Messi
Mchezaji huyo mahiri duniani ni mmoja kati ya wacheza wa Argentina ambao walikosa penati katika mchezo huo."My time with the national team is over. After losing 4 finals, this isn't for me" -Lionel Messi pic.twitter.com/QQpie7q2T6— Juan Direction (@JuanDirection57) June 27, 2016
hezea timu yake ya Taifa.
0 comments:
Post a Comment