Nimekuwa kimya kwa muda mrefu sana ila sasa nimeamua kuweka wazi,Ni maneno ya mwanadada kutoka chuo fulani hapa mkoani ameamua kufunuka baada ya kutendwa na jamaa lake ambaye ni mfalme wa mapenzi anavyojiita na mkali wa mziki wa kizazi kipya hapa mkoani,ingawa hayakuwa mapenzi yangu ila nimefanya haya kuonya wanaoyafanya mapenzi kuwa wanja la soka kuingia timu hii na kutoka timu hii,nilishindwa kuvumilia pale nilipotembelea kituo kimoja cha afya na kugundua kwamba nimeathirika,na kwa muda mrefu nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na huyu msanii kutoka hapa mkoani,baadaye nikachukua hatua na mimi kuwafunza adabu wengi wanaojifanya mastaa na kuwachukua wasichana wadogo na wenye heshima zao kwenye video zao na kuwaahidi kuwafanya maarufu,mziki ni jambo la maana hasa kwa kuifunza jamii ila wengi wamelichukulia kama baharai la mapenzi,,,sitomtaja mtu ila kama unajua kuna jambo kama hili ulilolifanya kapimweeeee:'NI maneno ya mwanadada huyu,...
Friday, 17 October 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment