728x90 AdSpace

Latest News

WATANASHATI CLASSICS. Powered by Blogger.
Monday 18 July 2016

SHEVCHENKO KOCHA MPYA UKRAINE



Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ukraine na AC Milan, Chelsea Andriy Shevchenko imeteuliwa kuwa meneja mpya wa timu hiyo ya Ukraine kwa mkataba wa miaka miwili.

Shevchenko, 39, aliyechezea timu ya taifa mara 111, anachukua nafasi ya Mykhaylo Fomenko, aliyeondoka baada ya taifa hilo kuondolewa michuano ya Euro 2016 katika hatua ya makundi.
Shevchenko alikuwa msaidizi wa Fomenko Ukraine waliposhindwa mechi zao zote dhidi ya Ujerumani, Ireland Kaskazini na Poland alistaafu mwaka 2012, hajawahi kuhudumu kama meneja awali.
Ukraine’s record scorer with 48 goals, Shevchenko ndiye anayeshikilia rekodi ya ufungaji mabao timu ya taifa ya Ukraine na alikuwa nahodha walipofuzu kwa fainali za Kombe la Dunia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: SHEVCHENKO KOCHA MPYA UKRAINE Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top