728x90 AdSpace

Latest News

WATANASHATI CLASSICS. Powered by Blogger.
Monday 2 February 2015

DIAMOND NA SHEDDY CLEVER WAMENIIBIA NYIMBO YANGU: CASSIM MGANGA

KILA mara tunapozungumia wizi wa mziki utamkuta Rais wa wasafi DIAMOND platnumz akiwa katika shughuli ile,.sasa ameibia kila mtu na amekuja kwa CASSIM MGANGA hit maker wa MOTOMOTO nyimbo ambayo imefanya vizuri sana kwenye tasnia ya mziki wa kizazi kipya,unaposkiza nyimbo ya Diamond  platnum ya  NTAMPATA WAPI na hii ya CASSIM MGANGA  motomoto utaskia ni kama walikuwa wanatungia nyimbo hizi pamoja nayeye sheddy clever  wa burn records kutimiza matakwa yao wawili kufanya mziki ufanane kabisa ,..kumebadilishwa vitu kiasi tu ili kudanganya waskilizaji na kuifanyia kazi sana ya DIAMOND PLATNUMZ ,.NIMEKUWA NIKIWAZA SANA KWA TENDO HILI LA KINYAMA KWA WASHKAJI WANGU HAWA WAWILI ILA NAJUA MAMBO KIBONGOBONGO NDIVYO YALIVYO NA ONA SASA WAMENIIBIA NYIMBO YANGU TAYARI NA HIYO INAMAANISHA KUIFUNIKA YANGU NDO YA KAKANGU diamond IFANYE VIZURI,.SINA MENGI YA KUSEMA ILA YAMENIUDHI SANA TENA ZAIDI,..asema cassim mganga




  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Item Reviewed: DIAMOND NA SHEDDY CLEVER WAMENIIBIA NYIMBO YANGU: CASSIM MGANGA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top